R
Loading...
DOWNLOAD jeplasi ft seba bongo move moved mpya MP4 3GP & MP3

Click any video below to download HD MP3 MP4 & 3GP of jeplasi+ft+seba+bongo+move+moved+mpya presented below...Subscribe To Our Newsletter

Join up to 900,000+ subscribers NOW!!!

Subscribe to our newsletter to stay updated.Loading...
5:45

Download Ifahamu Historia ya Jimmy Master kwenye Movies za Ngumi (J PLUS) mp4 download free video

Wengi tunamfahamu kwa jina la J Plus wengine Jimmy Master lakini jina lake kamili anaitwa Jimmy Mponda Huyu ni msanii mkubwa sana kwenye Filamu za Action hapa Tanzania yaani filamu za mapigano wengi tumezoea kusema “Movie za ngumi Jimmy Master ni moja kati ya waanzilishi wa Movie za mapigano hapa Tanzania kifupi ni mkongwe maan ni miaka 24 sasa toka aanze Vile vile Jimmy Master ni mtunzi wa story na pia ni mwandishi mzuri wa Script mbali na kwamba anauwezo mkubwa wa ku- Direct Movie Kwa wale wenye kumbukumbu tunaweza kukumbuka Jimm Master alianza kujikita kwenye Movies za mapigano mnamo mwaka 1994 ambapo alifanikiwa kutoa Movie yake ya kwanza iliyopewa jina la “SHAMBA KUBWA” Movie hiyo ilikuwa nzuri sana na ilipelekea Jimmy Master kuanza kujizolea mashabiki mdogo mdogo katika safari ya uigizaji Ulipo fika mwaka 1995 Jimmy Master alitoa Movies ya pili ambayo ili pewa jina la “UNGA ADUI” ulipo fika mwaka 1997 Jimmy Master alitoa Filamu yake ya tatu ambayo ilipewa jina la ‘KIFO HARAMU” Baada ya hapo Jimmy Master alkaa kimya takribani miaka 5 bila kutoa Movie yeyote 2003 akafanikiwa kutoa tena Movies yake ya nne ambayo aliipa jina la “USIA” Kwa namna moja aliendelea kuongeza Mashabiki kutokana na ubora zake ingawa kipindi hicho kulikuwa na changamoto za hapa na pale za vifaa kwa sababu huwezi fananisha na sasa 2005 Jimmy Master alijizolea umaarufu mkubwa sana baada ya kutoa Movie yake ya 5 ambayo ilipewa jina la “MISUKOSUKO” ambapo ndani ya Movie hiyo alimshirikisha Sebastian Mwanangulo ambaye naye umaarufu wake ulianzia hapo alipo bamba na jina la “Inspector Seba kumbuka Jina la J PLUS lili zaliwa kwenye Movie hiyo ya “Misukosuko” ambapo kulitokea na mgawanyiko wa mashakiki yaani kama team za mpira, Mashabiki wa“J Plus” na Mashabiki wa “Inspector Seba” kutokana na mpambano wao katika muvi hiyo Baada ya Part 1 na Part 2 kuisha Scene za “Seba”team hazikuwepo tena ingawa Misukosuko iliendelea na Part zingine MISUKOSUKO ni Movie ambayo ilikuwa na muendelezo mrefu kutokana na kwamba mashabiki waliipenda sana kuliko kawaida Hivyo filamu hiyo ilifanikiwa kudumu bila kupoteza ubora na hamu kwa mashabiki toka mwaka 2005 – 2010 Ndipo J PLUS akaamua kutoa filamu yake nyingine ya Sita ambayo ilipewa jina la “DOUBLE J” huo ulikuwa mwaka 2012 Baada ya hapo J Plus kupitia ‘Mzimuni Theatre Arts’ ambayo ni yake, 2017 alitoa Movie yake ya 7 ambayo ilipewa jina la ‘The Foundation’ ( Msingi) ambayo kwa upande wake J plus alimesema “Nategemea hii filamu ya ‘The Foundation’ irudishe heshima ya Muvi za Action hapa Tanzania Mpaka sasa bado J Plus anaendelea kusambaza Movie hiyo hapa nchini Asante kwa kufuatilia Historia ya Jimmy Mponda kupitia Super News TV kujua mwendelezo wa maisha ya Jimmy Master or J Plus Like share kisha Subscribe Enjoy to watch Super News TV online made in Tanzania subscribe our Channel for more videos for any thing Call us 06581

1:53

Download Exclusive Teaser Filamu mpya ya "The Foundation" by J Plus mp4 download free video

Watakushangaa sana pale utakapo zungumzia Tasnia ya filamu za Action Tanzania bila kumtaja Mwasisi wa Filamu hizo Jimmy Mponda maarufu kama J Plus ambaye ndiye miliki wa ‘Mzimuni Theatre Arts’ aliyewahi kushikiria ubora wake miaka 5 kwa filamu yake ya “Misukosuko” yaani 2005-2010 Kwa madai yake J Plus, amesema kuwa baada ya kufanya vizuri kwa muda mrefu miaka kadhaa iliyopita, kisha kukaa kimya ili kuwaachia nafasi wasanii wengine waweze kuonesha uwezo wao katika Tasnia hio, kwa sasa amedai ni wakati wake tena Kwa maana hiyo J Plus ameamua kurejea tena ulingoni ili kuitetea tasnia hiyo coz ameona kama ina legea legea na huenda ikapoteza ubora kwa mashabiki wa Filamu za Action Tanzania Baada ya siku chache, J Plus anategemea kuachia Filamu yake mpya inayoitwa “The Foundation” ambayo ndani yake amecheza pia Inspector Seba Akipiga stori na mwandishi wetu J Plus alimaliza kwa kusema, “Kwanza Nashukuru Mungu kwa uzima, ukimya wangu haukuwa wa nia mbaya bali ni katika harakati za kuboresha kazi zangu, na kuangalia nini niwaletee mashabiki wangu ili walizike Ujio huu utakuwa katika kasi kubwa maana lengo ni kutoa kitu juu ya kitu, Nitaanza na Filamu ya “The Foundation” ambayo nimecheza na Inspector Seba ‘I hope’ itarudisha heshima ya Action Movies Tanzania Ombi langu kwa watanzania ni mapokezi mema kutoka kwao ushauri na maoni pia ni muhimu kwenye ufanisi wa kazi zetu asan

Nila I Seba na Kavi u Snack a As .MP4 3GP FLV-

Result Description...

Take some time to read the thoughts below specifying the results...

Video Courtesy to Uploaders And Owners

Incoming Search Tags

You can also see other possible keywords for downloading similar video...

Download video Nila I Seba na Kavi u Snack a mp4 3gp Download jeplasi ft seba bongo move moved mpya. mp3 3gp mp4 Download jeplasi-ft-seba-bongo-move-moved-mpya movie mp4 3gp, Nila I Seba na Kavi u Snack a.mp4 Download Videos, Free Download jeplasi ft seba bongo move moved mpya, jeplasi ft seba bongo move moved mpya MP3 Download, jeplasi ft seba bongo move moved mpya MP4 Video Download, jeplasi ft seba bongo move moved mpya All Video Download, jeplasi ft seba bongo move moved mpya 3GP Download, Fast Downloads, HD Downloads, Download HD Mp4, 3GP, Movies, IOS Videos Download, Mobile Videos, Iphone Videos Download, Android Videos Download, Latest New Songs and Video, Online Full Video Downloads, Search And Download

Download Nila I Seba na Kavi u Snack a.mp3 Where to Get Nila I Seba na Kavi u Snack a - Nila I Seba na Kavi u Snack a.mp4 video, Download jeplasi ft seba bongo move moved mpya - Nila I Seba na Kavi u Snack a.avi Crystals torrent, mp3song, Free Nila I Seba na Kavi u Snack a.mp3 Song Download, Nila I Seba na Kavi u Snack a ft Nila I Seba na Kavi u Snack a - movies.mp3 jeplasi ft seba bongo move moved mpya Full track Download, jeplasi ft seba bongo move moved mpya, jeplasi ft seba bongo move moved mpya .mp3 Single Free Download, jeplasi ft seba bongo move moved mpya - Nila I Seba na Kavi u Snack a, Nila I Seba na Kavi u Snack a Download, jeplasi ft seba bongo move moved mpya - Nila I Seba na Kavi u Snack a.mp3.mp3 Track, SoundCloud Download Nila I Seba na Kavi u Snack a.mp3 Listen Online, Nila I Seba na Kavi u Snack a.mp3 Song In 320Kbps & 128Kbps, jeplasi ft seba bongo move moved mpya 190Kbps format, Tindeck jeplasi ft seba bongo move moved mpya

Share This With...


facebook twitter google+ | WhatsApp |Google Google.co.za
Youtube . Hatena . Webry . bd . Tripod . Addto . So-net . Gamer . Google+ . Facebook -- Hson-- ucz-- gd-- one-- goggle-- zestr-- jobstu--
multiple--ucz . hawaii . nla . dot . bts . ed . dhs . weather -- nap-- msu
Jedixraja Project © 2019.